Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
Soma bibliaMimi leo nasumbuliwa na feeling usiku sina usingizi nifanyeje?
Soma bibliaMimi leo nasumbuliwa na feeling usiku sina usingizi nifanyeje?
Soma biblia
Nina kausingizi, Kuna dawa nilimeza so powa kabisaakuna bhna sema mimi nimeamka mda si mlefu ule muda nilisizia nikajua umelala leo
Nina kausingizi, Kuna dawa nilimeza so powa kabisa

ulikunywa piritoni 



Nakuona tajiriii, hivi ndivyo inafaa matajiri mtujue na sisi[mention]Intelligent businessman [/mention] wewe rafiki yangu now zaid ya rafiki ni ndugu
Eeee, Sasa nasikia miluzi tu masikioniulikunywa piritoni
![]()
Nakuona tajiriii, hivi ndivyo inafaa matajiti mtujue na sisi


tajiri wapi wiki hii mbaya kwangu 

00:40
Eeee, Sasa nasikia miluzi tu masikioni
Dah pole, ila Kumbuka torelantive always last.tajiri wapi wiki hii mbaya kwangu
![]()
Ukiona kimya ndo ujue gari limezimaaaaOh kwahiyo utatuacha soon tu
Mimi nataka text yakoSoma biblia
nipo kabsa sema lindo tumewachia vijanaUmefufuka kutoka wapi
Dah pole, ila Kumbuka torelantive always last.



Ukiona kimya ndo ujue gari limezimaaaa
ohh nawe umekuwa mhangaMimi nataka text yako
Dah nisamehe ndugu yangu, Mana nikianzaga kuandika, litakalokuja ndo hilo Hilo.Wewe nae una misamiati migumu![]()