Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,758
- 6,318
Ukilala lala salama✌Ngoja nilale wakuu
Ukilala lala salama✌Ngoja nilale wakuu
Nikunbatie picha yako na kama nikukumbuka sana?Ukilala lala salama✌
Sawa bro. Kesho lindo tena linakungoja leo umeupiga mwingi aiiise ww mwanachama halisiNgoja nilale wakuu
Nashukuru am so tiredSawa bro. Kesho lindo tena linakungoja leo umeupiga mwingi aiiise ww mwanachama halisi
Kuishi karbu na kanisa yataka moyo haulali kwa raha washanza mambo yaoNa makucha yakee👌
Yaani unajikuta mmemkaba demu, badala ya kuchukua pesa.
Aisee bosi Mwachiluwi, uko vizuri sema unazingua,Hapana sio wavuvu four point hapa posta
Aisee bosi Mwachiluwi, uko vizuri sema unazingua,
yaani Mimi bodyguard wako unaniachia niilinde pisi yako Bantu Lady,.
Kisha wewe unaenda kula Bata nje na Dahan. Utanisameheee, halafu we Dahan, unampiga tukio rafiki yako daaa. To yeye, hebu waone Hawa![]()


tatizo unakaa bunyokwa ukoKaka ningetembea tu, maana hapa nina njaa hatari. boss fanya kitutatizo unakaa bunyokwa uko
Kaka ningetembea tu, maana hapa nina njaa hatari. boss fanya kitu


fanya uje uchinje kuku hapa ukuleAisee wapi tena??, Yaani nina nenge ile mbaya. Big boss fanya hivyo niishifanya uje uchinje kuku hapa ukule
Aisee wapi tena??, Yaani nina nenge ile mbaya. Big boss fanya hivyo niishi
Yap nikifika Sasa ??, Si unajua mi mkabaji, wasije niliowaibia wakanionaUkuje huku mjini nazani unapakumbuka
Yap nikifika Sasa ??, Si unajua mi mkabaji, wasije niliowaibia wakaniona

mchana uhu hakuna watu kila mtu yupo ndani kwake njoo uchinje kuku shart lazima ummalize kuku hapa hapaAisee kwa njaa niliyonayo, ninaweza kula hata manyoya yakemchana uhu hakuna watu kila mtu yupo ndani kwake njoo uchinje kuku shart lazima ummalize kuku hapa hapa
Aisee kwa njaa niliyonayo, ninaweza kula hata manyoya yake
Subiri 2035Aya fanya uje sasa
Subiri 2035