JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Tuliwah Lima Nanasi na kuhakikishiwa soko lipo dar la uhakika .
Tukaanza na fuso la trial from Geita to Dar kufika chalinze ajent wetu alilotuhakikishia soko tukaonana na kuyaponda mananasi yetu kua hayana ubora .

Asee Vijana wa dar matapeli sana.
Tuliuza mzgo Kwa hasara.
 
Karibu bongo mji ulio jawa na wajanja wengi
 
Tuliwah Lima Nanasi na kuhakikishiwa soko lipo dar la uhakika .
Tukaanza na fuso la trial from Geita to Dar kufika chalinze ajent wetu alilotuhakikishia soko tukaonana na kuyaponda mananasi yetu kua hayana ubora .

Asee Vijana wa dar matapeli sana.
Tuliuza mzgo Kwa hasara.
Poleni sana, hapa bongo ni miyeyusho. Bora kulima kilimo cha mazao utafute soko nje ya nchi. But vitu viwe na ubora wa hali ya juu kama vinavyoenda supermarket ya Shoppers...
 
Na mkakimbia na michango ya kanisa wahuni sio watu wazuri mnataka kupaka watu mafuta Hiyo kitu hatw shetani anakuona una viwango vingine
😂😂😂 mafuta ya upako tumechukua kwa mwamposa tukasema ngojs tumpske ndugu yetu walau apate naye kazi asiwe jobless atoke kwa dada yake pale shemeji yake mda mwingine ana mtukans au tumekosea?
 
Back
Top Bottom