Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,460
Me a real thing, unlike you who fart when you are seen
Anamwaga tu hzo Pronounce,adverd na tag questions.Kumbe Intelligent businessman ukichukia unaongea english ase samahani mkuu 😂😂😂
Please usiondoke, tunaacha huo utani.I think it's better to leave me alone, and if you keep it on. Then I will forever be gone.
😂😂😂 kwa leo inatosha nikikumbuka mwazo alivyo kuwa atamba hapa uwanjani na sasaivi ase ni tifauti kawa kmpole sana kuliko kawaidaKuna kitu unamiss. Ukijaribiwa tu hutaacha... Mwachi tumfate hukohuko 😆😆😆😆😆
Unakumbika meazoni alisem muone sula imekushuka kama nynya ya niongeza 😂😂😂Anamwaga tu hzo Pronounce,adverd na tag questions.
🤣🤣 Hua Sina Imani na watu wakujiita gentle manWanajifanya hawayatakii 😂
wakati wakiwa ndani wanamwaga hadi ubongo😂😂😂😂
Yah matikiki yanasafisha figo na yanaongeza maji mwilini 😂😂😂Haya tuongelee kilimo cha matikiti ama matango or aple?
Sijui hzo jokes huzitoa wapi,🤣Unakumbika meazoni alisem muone sula imekushuka kama nynya ya niongeza 😂😂😂
Tuongelee kilimo cha vanilla 😂Haya tuongelee kilimo cha matikiti ama matango or aple?
Lakini nasikitika kumpoteza leo rafiki yangu ndugu yangu boss wangu kwa utani wanguSijui hzo jokes huzitoa wapi,🤣
Matango pia huwa tunaweka kwenye macho. Ni mazuri sana.Yah matikiki yanasafisha figo na yanaongeza maji mwilini 😂😂😂
Mbegu zake zinaongeza nguvu pia😂😂😂Yah matikiki yanasafisha figo na yanaongeza maji mwilini 😂😂😂
Geita tunalima Nanasi zenye uroda mwingii wakuu .Tuongelee kilimo cha vanilla 😂
Mimi tango napenda kutumia kwenye kachumbari pindi pale napokula pilaauMatango pia huwa tunaweka kwenye macho. Ni mazuri sana.
mimi hupenda kuyala naweka chumvi, lemon na pilipili 😋😋😋😋
Kilimo hiki kina mpunga, sema kinahitaji moyo sana.Tuongelee kilimo cha vanilla 😂