Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 14,024
- 28,081
Kuna vitafunwa vingi, ladha tofauti kuna kitumbua, andazi, mkate wa boflo, bagia za dengu na kunde... kuna cake sasa cake ndiyo tamu, ukila hiyo utabaki unalia kama umepigwa na hujaguswa 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Nipewe cake, tafadhali.