Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,914
- 67,435
Sana na kutibu minyoo 😂😂🤗Mbegu zake zinaongeza nguvu pia😂😂😂
Sana na kutibu minyoo 😂😂🤗Mbegu zake zinaongeza nguvu pia😂😂😂
Umeanza tena 😂😂😂I think it's time to make people remember the book of things fall apart by chinua achebe,
cause it's ain't normal the way wanaropoka Kama wameshikwa na ngebe.
Mungu aliumba bwana no comment sifa na utukufu tunamrudishia yeye
Matango huwa sipendi kuyamenya maganda.. Yani nile na ganda lake ndo traam😂Matango pia huwa tunaweka kwenye macho. Ni mazuri sana.
mimi hupenda kuyala naweka chumvi, lemon na pilipili 😋😋😋😋
Genge leo limenoga 😂😂😂02:02
Unajua kuna matango pori, ulishayala? Vidogo hivi vinene navipenda huwa wanauza kisutu. Wahindi ndiyo yao hayoMatango huwa sipendi kuyamenya maganda.. Yani nile na ganda lake ndo traam😂
Mchungaji tunaomba upatanisho na ndugu yetu Intelligent businessman tumekosa sisi tumekosa sana watu wa darMungu aliumba bwana no comment sifa na utukufu tunamrudishia yeye
Nashangaa anakua jobless kumbe ni mwalim mzuri WA kiingerezaUmeanza tena 😂😂😂
We mtata wewe kama fetotoHuwezi fanya hivyo kwa mtu mchafu...
Lazima muwe wasafi wote na mmetoka kuoga mkasuguana...
Ila wanasema mapenzi ni uchafu, kuna kuku wa kisasa na wa kienyeji kazi kwako [emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
Inabid nimuombee fedha boys pale afundisheNashangaa anakua jobless kumbe ni mwalim mzuri WA kiingereza
Hvi vitango wasukuma tunaviita limbe, na mbegu zake zipo.Unajua kuna matango pori, ulishayala? Vidogo hivi vinene navipenda huwa wanauza kisutu. Wahindi ndiyo yao hayo
Ah nyie [emoji4]Mbona ni tamu sana[emoji23]
Navipenda vile ni vitamu haswaa.. 😂Unajua kuna matango pori, ulishayala? Vidogo hivi vinene navipenda huwa wanauza kisutu. Wahindi ndiyo yao hayo
Nayapenda kuliko ya kawaida, tango pori huwa nikiyakuta nanunua mengi sana.Hvi vitango wasukuma tunaviita limbe, na mbegu zake zipo.
Nivizur mno.
Ahaha karibu uamulie ugomvi hapaLindo jema wakuu mi nashindana na nilikotoka kuna mtu kala vyangu sasa analipia(good for good)
Baba Mchungaji Iceberg9 ombea vijana wako. 😄😄😄😄😄Lindo jema wakuu mi nashindana na nilikotoka kuna mtu kala vyangu sasa analipia(good for good)