Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,581
Nipo kitambo, au nianze hoja zangu
Yes mda ndio leo vipi hauhisi kufa kufa?Nipo kitambo, au nianze hoja zangu
Zile huwa ni conversation dialogue mkuu, huwa nazitunga na zinahusisha watu wa 2 au zaidiYes mda ndio leo vipi hauhisi kufa kufa?
Vizuri sana mkuu, leo weka zingine mtu 2 wawe mstuni lakini namaanisha mbugani wamepotelea ukoZile huwa ni conversation dialogue mkuu, huwa nazitunga na zinahusisha watu wa 2 au zaidi
Nipo nafatilia documentary, ila nitajitahidi nikipata nafasi nitaandikaVizuri sana mkuu, leo weka zingine mtu 2 wawe mstuni lakini namaanisha mbugani wamepotelea uko
01:42
Usingiz nao wamechukua warusi,daaMbona mapema hivyo??
01:46 umeshasaini Wagner au unatania?Usingiz nao wamechukua warusi,daa
Nataka kulala....usingiz unagoma.Nimevimba macho tu01:46 umeshasaini Wagner au unatania?
Pole yako, inawezekana mwili ushazoea stimulus ya zamani, so unpata tabu kuji coordinate upyaUsingiz nao wamechukua warusi,daa
Inawezekana mkuuPole yako, inawezekana mwili ushazoea stimulus ya zamani, so unpata tabu kuji coordinate upya
Nakuja kukubembeleza ili ulale.Usingiz nao wamechukua warusi,daa
Kunibembeleza hapana....kichwa hakiko vizuri....ukinishika tu mwili nitaghafirika kama paka. Yaan am not good wanguNakuja kukubembeleza ili ulale.
😎