JamiiForums Usiku wa manane
Labda ameshow up kwa pm huoni like anajibu hivi.., 😂😂😂
Vijana tuna matatizo mengi hakika. Unahitaji moyo imara kuweza kuyatatua baadhi ya hayo matatizo, the worse enough sio wote wenye mioyo hiyo sasa😆😆
 
04:07 kwa hio ikawaje sasa hapo dirishani kwenu mmewatimua au bado wapo wanawachabo?
 
Huyu mwamba ananifanya nibadirishe detail yangu ya ulinzi. Oya wakurungwa kuweni nae karibu jamaa asije akachukua uamuzi mbaya maana kwenye maneno yake nimeona neno DEATH😄😄
 
04:08 ushaanza kupoteza majira angalia usije ukafloat tu hapo never die zimekua nyingi
 
Back
Top Bottom