Mr Attorney
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,472
- 34,518
Mna shida mob, mnashindwa kulala.
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Naona uko lindo best01:12
Yaan daa😔Naona uko lindo best
Pole me nimeamua kukaa nnje, nimesaka usingizi hadi nimechoka0137
Napigiwa kelele na jirani mziki mkubwaaaaa aargh
Sema baadayeUsingizi hamna hafu kesho misa ya kwanza 🙄
Same here0137
Napigiwa kelele na jirani mziki mkubwaaaaa aargh
Pole,anza kutumia mabilinganya mkuu.Me nilikuwa usingizini mziki mkubwa uliofunguliwa umeniamshaPole me nimeamua kukaa nnje, nimesaka usingizi hadi nimechoka
Halafu ukute tupo same place mkuu joking😆 kwasabab matukio yanafananaPole,anza kutumia mabilinganya mkuu.Me nilikuwa usingizini mziki mkubwa uliofunguliwa umeniamsha
Me nipo mazingira ambayo jirani anaoa,sasa wamerudi na vibe hilo balaa.Ni nyimbo za kihaya n.kHalafu ukute tupo same place mkuu jokingkwasabab matukio yanafanana
Asante mkuu sema nahis ni stress tu zikiisha ntalala vzuri tuPole,anza kutumia mabilinganya mkuu.Me nilikuwa usingizini mziki mkubwa uliofunguliwa umeniamsha

😂 Hao jiran mizinguo aiseee...kama vip kajiunge nao...bcoz if you can't defeat them join them 😁 me nishajiunga nao hapa...na wewe njoo ujiungeMe nipo mazingira ambayo jirani anaoa,sasa wamerudi na vibe hilo balaa.Ni nyimbo za kihaya n.k