JamiiForums Usiku wa manane
Aah mimi hata siwazi kabisa... maisha ndiyo hayahaya hata ukiwaza hayatabadilika. Ni kufanya juhudi si kuwaza. Mimi niko likizo so nalala mchana, usiku najikuta usingizi umeenda alijojo
Wengine usingizi unapotea, kwa kutafuta masoko, fursa n.k
 
Mida ya malaika mtoa roho hii anapita na checklist yake, 3:24am najibariki taraatib na ule mmea wa kondeni
 
Back
Top Bottom