Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,247
- 90,429
we lala,wengine walinziBongo hii hakuna alieko baa Mida hii aisee
we lala,wengine walinziBongo hii hakuna alieko baa Mida hii aisee
Yes, pia mwenye imani kusali na kuomba!Wa kuwaza maisha
Kulinda sawa lakini sio kunywa kwa kweliwe lala,wengine walinzi
Yah ni kweliYes, pia mwenye imani kusali na kuomba!
You are welcomeYah ni kweli
dogo naomba ulale,km unaeza njoo .,maneno more ya nnKulinda sawa lakini sio kunywa kwa kweli
Thank, I can'tdogo naomba ulale,km unaeza njoo .,maneno more ya nn
ulale sasa,wakubwa tufanye yetuThank, I can't
Ukiona ambae hajalala mpaka saivi ujue ni mkubwa mwenzenuulale sasa,wakubwa tufanye yetu

Sisi ni waleviiiiii,Kuna mfuko wa suruali wa kushoto kila chenchi inayorudishwa naiweka kwny mfuko hio.Ntazihesabu asubuhi.Furaha ni kuwa na marafiki na kulewa na marafiki
Urafiki sawa ila ulevi tutakuacha naoFuraha ni kuwa na marafiki na kulewa na marafiki
Iam happy today!Sisi ni waleviiiiii,Kuna mfuko wa suruali wa kushoto kila chenchi inayorudishwa naiweka kwny mfuko hio.Ntazihesabu asubuhi.
Kwani we unaliamsha popo ukiwa wapi?Urafiki sawa ila ulevi tutakuacha nao