JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Una upweke gani mzee akati hapa JF upo na watu zaidi ya elfu 2?[emoji12]
Nilikuwa nimelala nimesituka/situliwa na mlio wa simu ikiita....

Usingizi umegoma kabisa toka nimemaliza kuongea na simu

Nawaza ningekuwa na mke hapa nimelala nae ningeliamusha dude,[emoji3]
 
Back
Top Bottom