Jagiya
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,215
- 1,858
pole pia mkuu,sio wewe tu! hapa nilipo kichwa kinaumaPole mkuu... Usingizi umepotea kabisa na homa imenipandaš¢
pole pia mkuu,sio wewe tu! hapa nilipo kichwa kinaumaPole mkuu... Usingizi umepotea kabisa na homa imenipandaš¢
pole sana mkuuLeo nimekosa usingizi kbs baada ya taarifa ya msiba nipo naperuzi tu humu
Tupo wengi šLeo nimekosa usingizi kbs baada ya taarifa ya msiba nipo naperuzi tu humu
Kazi ya Mola haina makosa. Mwendo ameumaliza imani ameilinda, apumzike kwa amani!Iwe hivo tu Kwakweli Rais wangu mpendwa kaondoka
Asante sana mkuu, pole na wewepole sana mkuu
kha!amna namna nilikua nimeshalala napata taarifa dah sina usingizi tenaYaani nilikua naangalia kaseries ka kutisha na vifo vifo ndio hofu imenizidi. Naona nitakesha tu
shukrani mkuuAsante sana mkuu, pole na wewe
Kwanini huhudhurii?Amina..
Misiba na Magonjwa hua sihudhulii kabisa![]()
Hakika siku zote yupo nasiPole sana mkuu..
Mungu anilinde nami tu Kwakweli š¢
Amina!Yobu :14:5
Siku za kuishi binadamu zimepimwa; ee, Mungu umeipanga idadi ya miezi yake; hawezi kupita kikomo ulichomwekea.
Bwana atufariji watanzania wote ktk kipindi hiki chote cha majonzi na aendelee kuilinda nchi yetuView attachment 1728442
Oooh pole sana! Una huruma iliyopitiliza.Nikiona wagonjwa hua naona ugonjwa unakuja kwangu.. Naumia sana sana. Hata nikiona ajali somewhere hua siendi kutizama.
Mazishi hua naenda kutandua tu au siku ya tatu ya msiba otherwise naweza kufa pia huko. Moyo wangu hauwezi kubeba vitu vya huzuni.
Imagine hata majani/miti hua naogopa pia kukata naona naondoa uhai wa kiumbe.