JamiiForums Usiku wa manane
Kaka mkubwa simiss kesho church nakukumbusha tu mm ndiyo nimetoka kuandaa vitu mwaka unaisha ujue 😂😂😂 jumapili zimebaki chache.

unajua we jamaa ni mjinga sana 😂😂😂😂😂😂

zimebaki jumapili mbili bila shaka. Nikaribishe mapema
 
Back
Top Bottom