Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,444
Tuanze sio?Muda wa kukemea mapepo
ukitaka usingizi uje, we shika bible au quran tu, utashangaa unamka. sijui kwanini usingizi unapenda kuja wakati huo.Yamegoma kabisaaa,
![]()
kwa hyo emoji usingizi huwezi kuja kabisa, mimi kuna kitu nakifanya hapa cha kesho,macho yamekua kama zege.Yamegoma kabisaaa,
![]()
Sitaki kulala hata hivyo ni mwendo wa kujidunga, sikujua kama ni usiku sababu nina vibe hapa la kufa mtu.
kwa hyo emoji usingizi huwezi kuja kabisa, mimi kuna kitu nakifanya hapa cha kesho,macho yamekua kama zege.
ah aisee, jumapili tayari na nafikiri kuna baadhi ya watu washaanza kuamka na kujiandaa na siku, mimi bana nakimbia Culture Me , have fun.Sitaki kulala hata hivyo ni mwendo wa kujidunga, sikujua kama ni usiku sababu nina vibe hapa la kufa mtu.
Pouwa pouwa bro, karibu tena
ah aisee, jumapili tayari na nafikiri kuna baadhi ya watu washaanza kuamka na kujiandaa na siku, mimi bana nakimbia Culture Me , have fun.
Hi kitu ni kweli kabisa aise.ukitaka usingizi uje, we shika bible au quran tu, utashangaa unamka. sijui kwanini usingizi unapenda kuja wakati huo.
PowerPopoooz
Kama mimi eeNdio maana nina vibe kama lote
Nitazikupa😅😅😅Lakini Chakorii hizo lips mmh![]()
Nipe hata mie aisee nimezizimikia kamano 😍😍Nitazikupa😅😅😅
NaamWajumbe
0503 mapopo lindo is washindaring you au ni vipi?
Nimeskia adhana muda si mrefu, nilichogundua wanasayansi wanatakiwa watafute tiba ya UUMWIHahaha