fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,873
- 24,476
Basi Sina haja ya kuchoma mafuta kuja hapo ingawa sio mbali na home. Niendelee tu na lindo hapahapaššMuda uwende
Basi Sina haja ya kuchoma mafuta kuja hapo ingawa sio mbali na home. Niendelee tu na lindo hapahapaššMuda uwende
Ndani huko hakuna jipya zaidi ya mikelele ya mziki mkuubwaMm niko ktk vibanda huku na masela ,huko ndani siiingiagi
Hii album sitaki hata kuzungumzia [emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23] Kumekucha View attachment 1501452
Kwani WWE nimaigizo?John atulie, Uchebe sio maigizo!
Kwani WWE nimaigizo?
Wana maana gani kuweka ile warning [emoji3544] things you shouldn't not try but watch or don't try this?Michezo ile, ni lini umeona ngeu kama za shishi!
Wana maana gani kuweka ile warning [emoji3544] things you shouldn't not try but watch or don't try this?
Got yah. [emoji109]Ni kwa vile ni maigizo, ile stage yao iko designed vile... nje ya hapo si salama.
Got yah. [emoji109]
Got yah. [emoji109]
And you too dude [emoji109]Good day bro!
And you too dude [emoji109]
Muda wako wakukimbia huu.
[emoji4] Endelea kutafuta six pack maana mambo saiz yamebadilika warembo wanasema vibonge ndio watu wakudate nao maana hawachepuki sasa mm niko nakaza kula.Kukimbiza upepo
[emoji1493][emoji1493][emoji1493][emoji1493]