Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
HahaHapo kwa jina La aliyee juu ntalala ,akia nani!
HahaHapo kwa jina La aliyee juu ntalala ,akia nani!
Nina shauku ya kusikia sauti yako. Jirekodi halafu tuma kama wimbo.Angalia then uniambie. Nataka kuwaimbia mabata madogo madogo yanaogelea
Na hili joto..Hilo swali chokonozi. Ukiwaona hapa ujue wapo halftime wanapasha misuli kusubiri ngwe ya pili
Nina shauku ya kusikia sauti yako. Jirekodi halafu tuma kama wimbo.
Kuanzia week ijayo sitakua lindo kama hivi, nitakua nawamiss tu washikaji zangu wa lindoniHivi ni mko single au mnajiandaa kwa M.G?
Atarudi?Kuanzia week ijayo sitakua lindo kama hivi, nitakua nawamiss tu washikaji zangu wa lindoni
Wenye ndoa wamelala,tuanze na weweHivi ni mko single au mnajiandaa kwa M.G?
Msimu huu kwani pia kuna joto?Na hili joto..
Likizo itakua imeishaAtarudi?
Nitumie inboxSioni sehemu ya kusendia
Me naona jotoMsimu huu kwani pia kuna joto?
Attach files,hupotei apo utundu wakoAngalia then uniambie. Nataka kuwaimbia mabata madogo madogo yanaogelea
Kuna watu wanaitendea haki hii hali ya hewaMe naona joto
AnzaWenye ndoa wamelala,tuanze na wewe
Kuweka audio huweziSawa