Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,271
😣Ukijaribu utaona ile harufu yake kama manukato.
😣Ukijaribu utaona ile harufu yake kama manukato.
Konyagi?Ungekuwa hujapewa hayo madawa ningekushauri utafute ngumu kumeza ikupe usingizi.
Mimi00:53 nani hayupo, niko na jambo tujadiliane
Pole sanaMkuu mguu unauma nimeshindwa kulala
Nenda ufanye kurudi hapa, nakusubiriMimi
Akhsante sana mkuu AgogwePole sana
Yeah, au Vodka. Nilipigwa na Corona Vodka ikanisaidia kuponaKonyangi?
Mmmh... Aiseeeee!Yeah, au Vodka. Nilipigwa na Corona Vodka ikanisaidia kupona
Jana mkuu tumekutafuta sana. Maana hatukujua chimbo ulilokita kambiLeo natobooa hadi pakuche
Mtoboko mwemaLeo natobooa hadi pakuche
nikipata stim huwa akili inatulia sana nakuwa genius😆 😆 😆 unajiweza lakini usije ukaleta vurugu ukishapata stimu.
Lindo zima linanukia kibange bange
Me napiga chafya tu huku, jamani tuhurumiane...




Remix ndio naipenda mmBedroom![]()
Nikipata usafiriNenda ufanye kurudi hapa, nakusubiri
Hujui bange ndio inafukuza majini na wachawi lindoni?6%
Afadhali Simu izimike nilale..