Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,582
- 53,322
Mbishi kama wazee wa bao[emoji38]mm ni mbishi?!
Mbishi kama wazee wa bao[emoji38]mm ni mbishi?!
Safi kama umeelewa somo [emoji23][emoji23][emoji23]. Sema nini, una bahati jana uliyoka ndukiKwetu ukiambiwa hivyo jua ubihi umeisha [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Dah cheki views tu, watu wamelielewaWeka mbali na watoto hii ngoma?
Tazamana hayaHayo ni mawazo yangu haya wezi kuwa sheria ni mtazamo tu..
Siwajui ndo kjna nan kwaniMbishi kama wazee wa bao
😆 😆 😆 😆 😆 😆 wapi naona ulikuwa unanipa kahawa usiku mnene wote nikaona nikuache nilale zangu mm.Safi kama umeelewa somo [emoji23][emoji23][emoji23]. Sema nini, una bahati jana uliyoka nduki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna fala juzi anasema huo mdundo travis kaiba 😆 😆 😆 😆 alikuwepo wapi muda wote inamaana hakusikia nyimbo wakati inatoka ama alikuwa anataka stunt.Dah cheki views tu, watu wamelielewa
We jinga sana [emoji23][emoji23][emoji23]. Ndio raha ya kukesha hiyo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] wapi naona ulikuwa unanipa kahawa usiku mnene wote nikaona nikuache nilale zangu mm.
Hiyo ni ligi ndogo.Mbishi kama wazee wa bao
Nyimbo kali sana, nausikilizia huo wimbo kwenye headphone [emoji442] za Sony mhmhh shida shida pita mbali mzee...... Ndiyo hivyo kuna watu huchukulia point kwenye vitu hawajavitolea jashoKuna fala juzi anasema huo mdundo travis kaiba [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] alikuwepo wapi muda wote inamaana hakusikia nyimbo wakati inatoka ama alikuwa anataka stunt.
Nikaona yann nijichoshe nimeinua kandambili zangu nikakunguta vumbi nikaondoka zangu.We jinga sana [emoji23][emoji23][emoji23]. Ndio raha ya kukesha hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Scott kampa jibu takatifu ametulia teyari kapata anachokitaka.Nyimbo kali sana, nausikilizia huo wimbo kwenye headphone [emoji442] za Sony mhmhh shida shida pita mbali mzee...... Ndiyo hivyo kuna watu huchukulia point kwenye vitu hawajavitolea jasho
Rae Sremmurd - Black Beatles
[emoji38] [emoji38]Scott kampa jibu takatifu ametulia teyari kapata anachokitaka.
Kwamba ligi ndogo ni nn?!Hiyo ni ligi ndogo.
🙃Una mmudu sio [emoji38][emoji38], ila mkaushie nakependa sana hako katoto Goddess kwa kuwa ni mlinzi wetu hakakosi humu jamvini
Sema tu ulikuwa ushatepetaNikaona yann nijichoshe nimeinua kandambili zangu nikakunguta vumbi nikaondoka zangu.