Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
0410
Bado Tukae pamoja4:13
Nilijua kumekucha eti
Narudi kulala mie.Bado Tukae pamoja
Usilale.Narudi kulala mie.
Hata mie.4:13
Nilijua kumekucha eti
Yaan hapa umekata hadi natamani enzi za kikwete unaamka unaenda club



ahlaa tukeshe mtu wangu bado lisaa tuuNarudi kulala mie.
Ndio maana ya uzi huu palipo wawili watatu amani haikosekani, kwa mazingira ya sasa jf ina watu wengi kuliko clubHata mie.
Siku hizi naona usiku mrefu sana.
Saa 10 usingizi umekata na kudhani kuwa kumekucha.
Niko hapa kuratibu Kila kitu 0500,karibuJamani Morning Glory i.epita au bado nimetoroka lindoni
Ngoja ninawe tu huku down passportsize niwahi kukabidhi kazi za watuNiko hapa kuratibu Kila kitu 0500,karibu
Acha uvivuNarudi kulala mie.
Tukutane usiku wa manane