Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Afadhali kama unaipata hiyo. Lakini atakuwa ashalala maana kimyakimya.Nasikitika nimemwamsha...nitalala mie sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali kama unaipata hiyo. Lakini atakuwa ashalala maana kimyakimya.Nasikitika nimemwamsha...nitalala mie sasa
Bwashee usiangalie time, hiyo itatufanya tusikeshe. Hapa hadi liamba02:05
Nabaki kidogoSasa chiqutitta tunaondoka wote au wewe unabaki kjlinda.
Kama za kungu nigawieKaribuni kashata.
Kama za kungu nigawie
Ni kashata ila inakua mixed na kungu wakati wa maandaliziHata sijui, zikoje hizo.?
Ni kashata ila inakua mixed na kungu wakati wa maandalizi