Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Naona leo mmeamua kua kuku kabisaNakuachia uwanja mamy,mashindano siyawezi japo nina bahati ya mtende..........

Naona leo mmeamua kua kuku kabisaNakuachia uwanja mamy,mashindano siyawezi japo nina bahati ya mtende..........

Hahahah! Mimi na Kichwa kichafu hatudhuriani...............Shikamana naye vyemaLala dear wangu maana tuko wengi, mara Thad mara mm najua kuchoka muhimu
Usiku usiku tu,manane jina 😉😉😉 ............Hivi sasa hivi ni saa ngapi vile?Naona leo mmeamua kua kuku kabisa![]()
![]()
Pole kwa majukumu ya usiku........ umenitajia viroba akili ikastack kabisa,nimevimiss balaaMimi sijakimbia ila nimezidiwa na majukumu siku si nyingi tutakua wote ila bill ya viroba mii ntakua sipo ha ha haaa
Hahaha huku ni saa 8:40 mchana, sijui huko ulipo vipiUsiku usiku tu,manane jina 😉😉😉 ............Hivi sasa hivi ni saa ngapi vile?
Hahaha huu ni usingizi tu unakusumbuaPopooooz........... njooni tutawale kabla bundi hawajaingia

Poleni sana.............huku ni saa 2:45 usikuHahaha huku ni saa 8:40 mchana, sijui huko ulipo vipi
Hahaha unaongea ivyo huku kawimbo ka Fm Academia "Wivu sina ila roho inauma" kanaimba kwa mbali.Hahahah! Mimi na Kichwa kichafu hatudhuriani...............Shikamana naye vyema
Hapana bwana nimeona popo wanakosaga nafasi kabisa,maaana wakija mida yetu tunawatoa nduki wakalale bundi wafanye yao 😉😉😉😉............ Huyo KK simuwezi,mimi nina wivu mpaka najionega wivu mwenyeweHahaha huu ni usingizi tu unakusumbua
Au ndo janja ya kuzuga umelala ile mida yetu kumbe unakoleza moto kwa Dirty head sababu competition niliyoiona sio ya sport sport![]()
Mimi nnavyo njoo uchukue, lakini usimwambie mtu.Pole kwa majukumu ya usiku........ umenitajia viroba akili ikastack kabisa,nimevimiss balaa
Hapana bwana nimeona popo wanakosaga nafasi kabisa,maaana wakija mida yetu tunawatoa nduki wakalale bundi wafanye yao 😉😉😉😉............ Huyo KK simuwezi,mimi nina wivu mpaka najionega wivu mwenyewe

Hahahah! Hivi hao FM Academia nao walitufanya wajinga kama wahenga eeh! Roho itaumaje kama huna wivu?Hahaha unaongea ivyo huku kawimbo ka Fm Academia "Wivu sina ila roho inauma" kanaimba kwa mbali.
Hahaha hata mimi kuna muda roho huniuma bila hata kua na wivu, na huwezi jua mpaka ikutokeeHahahah! Hivi hao FM Academia nao walitufanya wajinga kama wahenga eeh! Roho itaumaje kama huna wivu?

Nije hapo home saa hizi au nije kesho mchana ukiwa Mirembe?Mimi nnavyo njoo uchukue, lakini usimwambie mtu.
Aisee..... roho inakuuma kwa yapi? Hayahaya yanayosukumwa na moyo au mengine?Hahaha hata mimi kuna muda roho huniuma bila hata kua na wivu, na huwezi jua mpaka ikutokee![]()
![]()
Hahahaha, njoo kesho saivi niko bize nachoma mahindi juaniNije hapo home saa hizi au nije kesho mchana ukiwa Mirembe?

Hahaha mchanganyiko wa vyoteAisee..... roho inakuuma kwa yapi? Hayahaya yanayosukumwa na moyo au mengine?

Hahaha! Hivi mkuu una viroba vipi,vile vya kilo 25 au 50? Maana nisijepoteza muda wangu bure kumbe una viroba vya kilo 5 😉😉Hahahaha, njoo kesho saivi niko bize nachoma mahindi juani![]()
Hahahaha nina kuanzia kilo 5 mpaka kilo 100Hahaha! Hivi mkuu una viroba vipi,vile vya kilo 25 au 50? Maana nisijepoteza muda wangu bure kumbe una viroba vya kilo 5 😉😉
