Sim Card
JF-Expert Member
- Dec 30, 2019
- 881
- 1,605
Goddes hii ngoma ya kalubandika umewahi kukaa chini ukaisikia msg yakeJ Cole- MIDDLE CHILD![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Goddes hii ngoma ya kalubandika umewahi kukaa chini ukaisikia msg yakeJ Cole- MIDDLE CHILD![]()
Wadau wapo
Hii ishu ya kukosa usingizi inawasumbua wengiSilali ss
Hata nikilala ss hv saa 06 nipo macho usingizi umeisha
Lindo liko powa, karibu sana mkuu
Hakuna shida kila mtu si anaeneo lake
Yes ni nyimbo nzuri sanaGoddes hii ngoma ya kalubandika umewahi kukaa chini ukaisikia msg yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes mazoeaHii ishu ya kukosa usingizi inawasumbua wengi
What dearNi makusudi?!
Wengine wako nchi ambazo muda huu ni saa mbili asubu tunatofautiana time zonesSometimes mazoea
Na kuna wanaokua active usiku mchana wako lazylazy
Mara nyingi ni mazoea Ila hiyo yakuwa active usiku na lazy lazy mchana😂😂Sometimes mazoea
Na kuna wanaokua active usiku mchana wako lazylazy
Mara nyingi ni mazoea Ila hiyo yakuwa active usiku na lazy lazy mchana
labda wachawi
sio uchawi walann weekend lala =uvivu ikifika usiku unapata nguvu zakufanya kazi zote kufua n.kWamekufanyaje mkuuI was hesitant to hate African women but soon I may conclude with never having a U turn on them.
Good morning pretty. Siku njema kwako na wakuu walinzi wengineGood morning
Mbaki salama