JamiiForums Usiku wa manane
Now playing
Sikia - Stephen Chelu ft. Aleicy Music
Verse 1
(Stephen Chelu)
Kila n’kilala unanijia ndotoni huku unanitisha/
Unasema nisipokoma utanikatisha maisha/
We ni nani mbona sikuelewi kabisa/
Na kwa nini unapenda ulimwengu ubaki na giza/
Fanya nikuone tuongee kwa kirefu sana/
Uniambie ni wapi mi nakosea ama../
Usipokuja naapa kutokuogopa tena/
Nitakukosoa zaidi ya nilivyofanya jana/
Mungu amenipa akili ka Einstein/
Lakini unajaribu fanya nionekane nina small brain/
Unaninyanyasa ‘cause I’m out of the chain/
I don’t f*ck with that sh*t, man I’m fed up with the pain/
Ulimwengu kufubaa ndicho kicheko kwako/
Unatumia nguvu kuhalalisha madhambi yako/
Niambie wapi yalipo makazi yako/
Tuongee ana kwa ana niusikie upumbavu wako/

Chourus
(Aleicy Music)
Hii dunia/
Tumepewa tutawale/
Sio ututawale/
Hebu sikia/
Tumechoka manyanyaso/
Na vitisho/

Narudi usingizini, nilikuwa nakula break kidogo.
Wenye zamu lindoni endeleeni kupiga mzigo.
 
Back
Top Bottom