JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nilichelewa kutafuta kurunzi...
Sasa haya materials yanayokuonesha codes nadhani unayaweza kuyapata hata kwa msaada wa google. Nilichokuwa nafikiria umpate mtu wa kupractise nae hizo codes ili uzimaste.
Unaendaga kanisani?
Wazee naona mlifungiwa humu jana mkawa mnapiga story tu mchana?
 
Sasa haya materials yanayokuonesha codes nadhani unayaweza kuyapata hata kwa msaada wa google. Nilichokuwa nafikiria umpate mtu wa kupractise nae hizo codes ili uzimaste.
Unaendaga kanisani?
Nina miaka mingi sijaenda, kipindi cha nyuma kuna mzee mpiga kinanda wa kanisa nilimuomba anipigishe, tulipiga kama siku tatu ile keyboard tulichokuwa tunatumia kujifunxia ikapelekwa kigangoni halafu wakawa wanazuia kujifunzia kwenye piano so zoezi likaishia hapo
Mwaka jana nikampata mshkaji na tukakubaliana anifundishe ila ratiba zikawa zinabana kiasi hatukuwahi kukutana hata mara moja.
Kwa sasa huku nilipo ni mgeni mgeni so kuna ka changamoto kumpata mtu...
 
Back
Top Bottom