kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,178
- 21,825
0351hrs
Sijui utakuwa unamkoa nani hapo🤣🤣Niichemshe nyama mwenyewe halafu niidokoe🤔
“Kwenye JF, si kila comment inahitaji kuwa ndefu. Wakati mwingine sentensi moja yenye timing sahihi ndiyo inayobeba thread nzima.”
Mpaka sasa sielewi kwanini nafanya hivi🤦🏽♀️Sijui utakuwa unamkoa nani hapo🤣🤣
Umeshakuwa uraibu wako sasa,mpaka chakula kinakuwa tayar ushakula nyama za kutosha tu aiseeMpaka sasa sielewi kwanini nafanya hivi🤦🏽♀️
Nina wasiwasi nikianza kuishi na mtu nikajisahau nikadokoa nyama yote itakuwaje!🫢Umeshakuwa uraibu wako sasa,mpaka chakula kinakuwa tayar ushakula nyama za kutosha tu aisee
Utaonekana mchoyo sana,je unadhani huwezi kuacha?Nina wasiwasi nikianza kuishi na mtu nikajisahau nikadokoa nyama yote itakuwaje!🫢