JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kuna ngoma ninazo mpaka sasa hivi huwa najiburudisha mwenyewe. Hii moja nilimtungia demu wangu wa kipindi hiko na mistari yake haijanitoka mpaka sasa kichwani.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Aise sasa naelewa ni jinsi gani ni ngumu kuachana na kitu fulani unachokipenda. Mimi hadi sasa nimeshaandika nyimbo si chini ya 40 ila nilizo rekodi tayari ni 5 tu, sasa nina mpango wa kutengeneza ka home studio ili niwe najikata kiu mwenyewe, sasa hivi bado najipiga darasa la kutengeneza beat mdogo mdogo.
Ila mimi nitakuwa naziachia, atakayesikikiza asikikize asiyetaka sawa.
 
Haha mi nilihamia kanisani mpaka kuwa kiongozi wa praise and worship team enzi za chuo hizo. Home kwangu kiburudisho kikubwa ni keyboard na nyimbo za taratibu
za akina Celine Dione, west life, backtreet boys, boys2men etc
Wengi wanaonisikilizaga wananisifu hasa kwajinsi ninavyoteleza kwenye kinanda na sauti ya Ken Rogers
 
Uko vizuri mkuu, Mimi navutiwa sana na Hip hop na Hizo za taratibu. Yaani nikija kui master keyboard mbona itakuwa shida.
 
Back
Top Bottom