fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,878
- 24,491
Mkuu huu ni muda wa aina gani? Tufundishe, labda kuna codes za kipekee ndani yake 😊😊0.00013
Mkuu huu ni muda wa aina gani? Tufundishe, labda kuna codes za kipekee ndani yake 😊😊0.00013
Looks like you're in love with somebody and your heart is stuck to tell any.Celine dion - Love doesn't ask why
😴😴😴
Good night guys.
😀😀0125 nakudeku tu mamii😉
Kweli unadumisha Ulinzi kadri muda uendavyo
Sijui kwanini ulichaguliwa kuwa miongoni mwa walinzi!!🚶🚶🚶
Kuna binti namvizia hapa, akiona yeye anaelewa, usipate shida mzee, hiki ni jambo langu mimi na yeye tu.Mkuu huu ni muda wa aina gani? Tufundishe, labda kuna codes za kipekee ndani yake 😊😊
Usije ukaondoka bila kuniaga pls😀😀
Muda si mrefu nawaachia lindo
Haha haya mkuu, nakuaminiaKuna binti namvizia hapa, akiona yeye anaelewa, usipate shida mzee, hiki ni jambo langu mimi na yeye tu.
Fursa [emoji4]Aaah umepandisha bei tena ututakii mema sisi wanunuzi [emoji17]
Mambo ChiqFursa [emoji4]
[emoji2][emoji2][emoji2],, nshamjua ?Akija yule binti mnistue.