Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,571
Nimselect zile ninazozikubali kwa sanaKendrick ngoma zote [emoji15] unapandisha?
Nimselect zile ninazozikubali kwa sanaKendrick ngoma zote [emoji15] unapandisha?
Dah [emoji23][emoji23] umetisha mzee [emoji91] mtu nayeweza sikiliza mikwaju yake yote kwa pamoja bila kuskip nyimbo yeyote ni Post Malone tu wengine siwezi.Playlist kusindikiza lindo
Only from K dot...
YAH
ELEMENT
PRIDE
HUMBLE
LOVE FT. ZACCARI
FEAR
King kunta
These walls Ft. Anna Wise
Alright
How much A dollar costs
The blacker the berry
You Ain't Gotta lie
I
Mortal man
B*tch don't kill my vibe
Money trees Ft. Jay rock
Poetic justice ft, Drake
M.A.A.D city
Swiming pools
Real ft Anna wise
The recipe ft. Dr. Dre
Now or Never
All the stars Ft. SZA
Hapo tupo pamoja, Director, waigizaji na soundtrack tunazipata kwenye uzi huu huu.Nataka nikupe uwakala sasa na ww uwe unasambaza mikoani huko tupige pesa [emoji23][emoji23]
Kuwa free mzee ukiwa hapa unaweza post chochote au kuomba kama watu wanacho utapewa.Hapo tupo pamoja, Director, waigizaji na soundtrack tunazipata kwenye uzi huu huu.
😀 😀 😀 😀Dah [emoji23][emoji23] umetisha mzee [emoji91] mtu nayeweza sikiliza mikwaju yake yote kwa pamoja bila kuskip nyimbo yeyote ni Post Malone tu wengine siwezi.
Music huwa unakufanya uwena furaha unasahu shida kidogo unaweza sahau kama corona ipo duniani hapa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kipenda roho mzee....yaan hapa nilpo nafeel kama sina shida haa moja.
Acha kabisa mkuu, Dunia bila muziki sijui ingekuwaje aisee...Music huwa unakufanya uwena furaha unasahu shida kidogo unaweza sahau kama corona ipo duniani hapa.
Sijui ingekuwa vipi aiseee na mbadala wake sijui ingekuwaje ni nn?Acha kabisa mkuu, Dunia bila muziki sijui ingekuwaje aisee...
Yupo karantini huyo bibie [emoji41]Hivi Rowin upo? Hebu punga japo mkono huko uliko, sijakutia machoni muda sana.
Nipatie chai kwanza tukisubili kahawa jikoni kisha AL kasusi ipoe kwanza mkuu msinipe funguo ukinipa Na mjani aisee naweza nikawafungia ndani mkuuKaribu mkuu, vipi unatumia kahawa, chai au al kasusu!, hata mmnea ipo pia ukitaka
Labda mmea, 😂😂😂😂😂Sijui ingekuwa vipi aiseee na mbadala wake sijui ingekuwaje ni nn?
Asante sana 01:00Karibu jiwe
Haha sijui ulifanya makusudi mkuu wa lindo[emoji23][emoji23]
😀 😀 😀 😀 😀Yupo karantini huyo bibie [emoji41]
Babu yalitokea marinjirinjiVp mbona hukuleta mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23] nilete ac?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa sie tusio penda kijiti sibalaa sasa ingekuwa!Labda mmea, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wangekuwa wanagonga ndumu sio kawaida
Maana starehe nyingi lazima zisindikizwe za muziki, ukiwa unaula gambe mziki lazima nk.
Nazani ataitikia wito muda sio mrefu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Pole yake...ajifukize azibue mapafu. Bado tunampenda.