Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,571
Mkuu umenipa hamasa sana, nimejarihu na when I was your man ya bruno mars naona kama napita mule mule kama pro flani vile.😂😂😂😂Mkuu hata ukiwa na stresses zako zote zinapotea. Mziki unaongea, mziki unaponya
Shukrani sana mkuu...