Kijana Jr
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 564
- 868
[emoji23][emoji23] comment niliokujibu ilikuwa sio yako tatizo la kufanya vitu viwili kwa pamoja ndio hiliKama kawa.
Yaani sijui inakuwaje tukajikuta tupo lindoni muda ambao si wakuwepo lindoni😂Wazee naona mlifungiwa humu jana mkawa mnapiga story tu mchana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo muwe makini msijefungiwa ndani sasa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kukisha kucha watu wanawaza nyumbani tu, wanafunga bila hata kuangalia kama kilam mtu kashatoka....
Karibu mzee
Karibu mkuu, vipi unatumia kahawa, chai au al kasusu!, hata mmnea ipo pia ukitaka
Leo ikifika saa 11 nakaa jirani na geti aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo muwe makini msijefungiwa ndani sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23] Mlifungiwa ndani humu.Yaani sijui inakuwaje tukajikuta tupo lindoni muda ambao si wakuwepo lindoni[emoji23]
Leo unatuweka Playlist gani? Yakusukumizia muda?Leo ikifika saa 11 nakaa jirani na geti aiseee
Kuunga lindo sio poa....
Karibu jiwe
Haha sijui ulifanya makusudi mkuu wa lindo😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] Mlifungiwa ndani humu.
Alafu bonge la jina, wanaweza hata watu wakatumia kwenye movie.Kabisa mzee wangu nacheza na akili zao tu saiz [emoji23][emoji23]
Nimesikiliza ngoma moja ya mwanamama celine dion kisha nikarudisha kwene playlist ilyoadaliwa kwa ajili ya leo. Usiku leo ni zamu ya kendrck lamar tu.Leo unatuweka Playlist gani? Yakusukumizia muda?
Nataka nikupe uwakala sasa na ww uwe unasambaza mikoani huko tupige pesa [emoji23][emoji23]Alafu bonge la jina, wanaweza hata watu wakatumia kwenye movie.
"Legendary Super Villain" 😀😀😀
Ngoja tu hesabu namba mzee.Halafu walinzi wa sasa sina records zenu ,hili lindo .mmmh ngoja nirudi kituoni
Kendrick ngoma zote [emoji15] unapandisha?Nimesikiliza ngoma moja ya mwanamama celine dion kisha nikarudisha kwene playlist ilyoadaliwa kwa ajili ya leo. Usiku leo ni zamu ya kendrck lamar tu.
Ngoja niipandishe hapa...
Leo unatuweka Playlist gani? Yakusukumizia muda?