Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
NimerudiiiiUsije ukaondoka bila kuniaga pls
NimerudiiiiUsije ukaondoka bila kuniaga pls
Vuguvugu itafaa😀
Ww tenaMuda huo unaonitafuta nilikuwa nishalala kitambo.
I see u too viber
Vizuri mkuu, mkuu hauja fikiria kutengeneza hata ngoma mbili tatu au ndo uliamua kuachana na mziki mazima😀😀.Bahati mbaya I ain't a fan of current bongo flavor. Ile ya miaka 2000's ilinigusa Sana.
Yote juu ya yote naunga mkono wadau wa mziki
Mmmh a little fine coz hours r running so fast sijui kwannI see u too viber
How r u
😀 😀 😀 😀Mwana ww nikavu sana.
Hautaki masaaa yaende?!
Yes maana mwaka ushakaribia kukatika nusu mpaka sasa hakuna cha maana kilichokwisha kufanyika zaidi ni story za Corona tu ndo zinatamba.Hautaki masaaa yaende?!
Mwaka ukatike umalizike sjui ufanyeje sisi hatuna shida kikubwa uhao na corona iishe maisha yaendeleeYes maana mwaka ushakaribia kukatika nusu mpaka sasa hakuna cha maana kilichokwisha kufanyika zaidi ni story za Corona tu ndo zinatamba.
Sent using Jamii Forums mobile app