Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,409
Haha umekuja kufunga pia!!??
The only thing to fear is fear itself
Haha umekuja kufunga pia!!??
Ndio nmekujaHaha umekuja kufunga pia!!??
The only thing to fear is fear itself
cc😡mahondawNow days CD siyo muhimu kama Sanitizer na Barakoa... msisahu kutumia hizo vifaa...
Ziba pua, ziba mdomo, katikati ya mbio za farasi, unabanwa na pumzi unazimia...
Cc: mahondaw
NdiyoDodoma[emoji848]
Yani kuna hizzzi ni fasta na affordabkeBasi mtandao wa airtel usiku huu unazingua
Can you advise pls?
Ttcl bundle nao kitonga ila washakua wajingaNdio line niliyojaza bundle la mwezi mzima basi we nakomaje ikifika usiku? Sometimes Natamani hata kuipasua simu ila haina makosa
Nitachagua moja kwaajili ya internet tuYani kuna hizzzi ni fasta na affordabke
Zantel
Halotel
Hao ndo sitaki hata kuwasikia, wanayumba sana nowadaysTtcl bundle nao kionga ila washakua wajinga
Aaah umepandisha bei tena ututakii mema sisi wanunuzi 😔Zipo ila nimepandisha bei ni 2000 nikuandalie za rangi gani?
😂😂😂 Uliamua upload na video kabisa.