Zipo ila nimepandisha bei ni 2000 nikuandalie za rangi gani?Basi hizo hizo za 1000 kama zipo [emoji41] zimebaki nijenichukue.
Ah ah ah et utambulisho wa muamalaI love you, take care Mama
"Utambulisho wa muamala"
I know that I must pass this testSasa hz nyimbo na sie walinzi huoni km unatuonea tu??mwisho wa sikutukumbatie haya mabunduki tufayatue trigger tukufe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii huwa haifanyi kazi kwangu.Music
Slow jams, soul genre
Unakuja automatic muda mwingine
Au una njaa?Binafsi, nipo kwenye mazingira yenye kumwezesha yeyote kupata usingizi.
Lakini mimi sipati!
Mhusika kama mim hapa naimbiwaMy love
There's only you in my life
The only thing that's right
My first love
You're every breath I take
You're every step I make
And I
I want to share
All my love with you
No one else will do
And your eyes (your eyes, your eyes)
They tell me how much you care
Oh, yes
You'll always be
My endless love [emoji255]
By Maria Carey
Ndio ubadilishe utaratibu ili uwe unakula daku.[emoji23] kiporo basi chakula cha usiku saa7ss hv ulale utaamka lini
Oh! Mr. LonelyAkon - lonely [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Good night guys.
Sio kweli.In the darkness, hope is something you give yourself
🌷💫chiqutitta nina zawadi yako kwa kutupatia "likes" bila hiyana.
M nikilala mida hii kuamka ni saa06 asubuh ila haya masaa3 hapa katikati sishtukiNdio ubadilishe utaratibu ili uwe unakula daku.
Umemaanisha nini mrembo ?
Ukweli ni upiSio kweli.
Usije lala pekee ako tafuta mtu sahihi ulale nae ah ahNalala mdogo wangu
Huu uzi aliyeuanzisha aliona mbali sana kwa kweliI know that I must pass this test
So just pull the trigger (trigger, trigger, trigger)
Ataondoka ila chamoto tumekiona