JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ndo ujue madhara ya kulala peke yako,hao ni mbwa tu je Simba akiungurumia dirishani kwako si utajinyea ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]nitakufa kabisa mwanzo nmewahi poteza usingizi, uonga na kutetemeka kulinijaa nikarecord na zile voice za mbwa
Kesho yake naskilizzisha watu .eti sikilizeni sauti za fisi jana walitokea nilichekwa sitaki ule ujinga ujirudie
 
Back
Top Bottom