Inategemea na mbwa wanalia mlio wa aina gani.Ambao hamjalala naombeni nieaulize swali
KWANN MBWA WANALIA SANA USIKU
Yani ni makelele
Yaani kwakukutana nae humu JF muda wote umeshindwa kumtambua mrembo Goddess kweli?😀😀Dah...Kama siyo Ke Basi ni Me [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX160
Ahsante mkuuSuper Villain Goddess Weylyn Drizzle Elli Mshana mama D Mjep Depal Rowin Saint Anne Equation x Next Man Mnazareth na wengine wote..
niwatakie lindo jema wakuu
Karibu lindoniNatambua uwepo wenu 05:06
Shukrani, nilikua upande wa pili kule tangu SAA Tisa kasoroKaribu lindoni
Shukrani sana
Mi mwenyewe ndio napitia pitia huko maana naona leo walinzi wamechoka sana.Shukrani, nilikua upande wa pili kule tangu SAA Tisa kasoro
Nilienda kupata daku kwa ndugu yangu, Leo chungu cha Tisa, alhamdulilallah tutamaliza salama inshaallahMi mwenyewe ndio napitia pitia huko maana naona leo walinzi wamechoka sana.
Dogo 😂😂😂😂😂Super Villain Goddess Weylyn Drizzle Elli Mshana mama D Mjep Depal Rowin Saint Anne Equation x Next Man Mnazareth na wengine wote..
niwatakie lindo jema wakuu
Asante kwa Neno na liishi ndani yetuHaya vijana wangu nimewakumbuka kwa Neno hili pia
Zaburi 71:17Psalms 71:17
Ee Mungu, umenifundisha tokea ujana wangu; Nimekuwa nikitangaza miujiza yako hata leo.
Zaburi 71:18Psalms 71:18
Na hata nikiwa ni mzee mwenye mvi, Ee Mungu, usiniache. Hata niwaeleze watu wa kizazi hiki nguvu zako, Na kila atakayekuja uweza wako.
Zaburi 71:19Psalms 71:19
Na haki yako, Ee Mungu, Imefika juu sana. Wewe uliyefanya mambo makuu; Ee Mungu, ni nani aliye kama Wewe?
Zaburi 71:20Psalms 71:20
Wewe, uliyetuonyesha mateso mengi, mabaya, Utatuhuisha tena. Utatupandisha juu tena Tokea pande za chini ya nchi.
Muda bado, tunaandika handing over report now. Kwanza we mtoroFungeni lindo
Nasubiri sadaka sasa, @rovin anamalizia anakuja sasa hiviAsante kwa Neno na liishi ndani yetu
Jason x David ft Nick Minaj 💫Jason derulo ft Nick minaj....Goodbye 🎶🎶
Karibuni tuburudike.
Ujue "majukumu" yamemzidi kidogoShe will be right here in the next session, ila amekuwa mtegevu mtegevu siku hizi😊😊
Rowin