Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Wewe ndo ulichelewa kukuja
Wewe ndo ulichelewa kukuja
Na kweli kuna watoto huwa wanabeba mabegi mazito balaa yaani hadi ukilijaribu unakiri kuwa huu mzigo ni mzito kwa mtoto yaani hadi ukimuona njiani mabega yanaenda upande..Kuwachanganya watoto tu na kuwabebesha daftari nyingi tu.
All the best huko !! Utuwakilishe vyema tunakutegemea sanaSuper Villain Goddess Weylyn Drizzle Elli Mshana mama D Mjep Depal Rowin Saint Anne Equation x Next Man Mnazareth na wengine wote..
niwatakie lindo jema wakuu
All the best huko !! Utuwakilishe vyema tunakutegemea sana
Amen! Itakua vyema sanaNahesabu kenchi tu saa hii na chumba kina utulivu.. hakuna vurugu zozote labda kama unataka nipande mlima sayuni nikakuwakilishe mzee wa toba 😊😊
Habari yako MkuuSuper Villain Goddess Weylyn Drizzle Elli Mshana mama D Mjep Depal Rowin Saint Anne Equation x Next Man Mnazareth na wengine wote..
niwatakie lindo jema wakuu
AahSuper Villain Goddess Weylyn Drizzle Elli Mshana mama D Mjep Depal Rowin Saint Anne Equation x Next Man Mnazareth na wengine wote..
niwatakie lindo jema wakuu
Sure Mkuu