Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Mwana kazingua sana kuleta speech ile jana
Mwana kazingua sana kuleta speech ile jana
Komaa nayo tu sisi ni dona countryWanajf niko lindo nakomaa na mafenesi na mapapai mkuu tumemnukuu vibaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu dream naweza kua ipi kati ya hizoHapo sawa twende kazi.
Thanks
Ila sorry naomba kuuliza mlinzi mwenzangu are u Ke or Me?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushapata bdo kunywa
Ujue hua naogopa kinoma ss ukute wanatoa ule mlio kama wolf unaweza kuta usingizi unaniishaMbwa huwa wanaonaga vitu vibaya sana usiku mfano mbwa anaona wachawi nk.. Ndio maana huwa anabweka sana usiku.
Huenda ni hivyoItakua mbwa koko hao,maana mbwa wenye mafunzo huwa hawapigi kelele hovyo pasi na sababu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo kuyasikia usiku ndo shida ssMbwa kwa kusikia ni kuwa wana uwezo mkubwa sana wa kuwaona wachawi usiku hivyo ukiona wanabweka sana basi ujue wazee wa kazi wamekatisha anga hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38]Naombeni tusihamie PM walinzi [emoji38][emoji38],, maana ya Me au Ke soon tutapotezanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha hapana mkuu nimeingiwa na maswali juu ya mlinzi wangu mmoja hapa ss nikaona km anapenda km Hiphop dizain flani ila nikawa nahisi km ni Ke sasa bora nijue nisije kuendelea kumchukulia jinsia isiyo sahihi..Naombeni tusihamie PM walinzi [emoji38][emoji38],, maana ya Me au Ke soon tutapotezanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi tu nidream basing on ur Avatar tu hakuna namna.Ebu dream naweza kua ipi kati ya hizo
Bahari ganiDaah,,[emoji22][emoji22][emoji22],, tushapotezwa tyr
Sio kinyonge hvyoBahari ya sham [emoji2]
Wanashuhudia mengi yanayofanyika usiku, inasemekana hata ile miguno ya usiku wa manane wanaiskiaAmbao hamjalala naombeni nieaulize swali
KWANN MBWA WANALIA SANA USIKU
Yani ni makelele
Huyu mlinzi inabidi anyang'anywe bunduki haraka hwa hawachelewi kujilipua hawaSio kinyonge hvyo