Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
[emoji23][emoji23][emoji23] Utauanzisha nikishalala sawa saiz weka pending.Mm sinunui ugomvi leo
Nataka niuanzishe mpyaaa na simiss kuhusu ule mkasaaa mzito
[emoji23][emoji23][emoji23] Utauanzisha nikishalala sawa saiz weka pending.Mm sinunui ugomvi leo
Nataka niuanzishe mpyaaa na simiss kuhusu ule mkasaaa mzito
Hakuna..acha nipambane hadi asubuhi..Hakuna plan B upunguze makali?
Hichi kipindi aisee watu tunasumbuliwa na mafua na tonsilsSawa
Ww muhusika mkuu upo naachaje ss kulianzisha[emoji23][emoji23][emoji23] Utauanzisha nikishalala sawa saiz weka pending.
Hatari hiki kiumbe kula na apologize ndio kitu muhimu kwake [emoji16]
Na hii baridi ya mvua [emoji20] lohHakuna..acha nipambane hadi asubuhi..
Hapana mpendwa..na yamenishika haswaHichi kipindi aisee watu tunasumbuliwa na mafua na tonsils
Umepata dawa yoyote?!
Kamanda niaje. Hivi humu ndiyo hamlalagi kabisa aisee ?
Kwani huu ugomvi situlimaliza kule [emoji23][emoji23][emoji23] unitakii mema ww!Ww muhusika mkuu upo naachaje ss kulianzisha
Pole aisee,Hapana mpendwa..na yamenishika haswa
Mungu anipiganieNa hii baridi ya mvua [emoji20] loh
Chagua mwenyewe uishie kule au hapaKwani huu ugomvi situlimaliza kule [emoji23][emoji23][emoji23] unitakii mema ww!
Ahsante dear.Poke aisee,
pakikucha utafute piriton au chenga chenga zile
KaribuAhsante dear.
Kabisa utapambana kwa huu muda tu.Mungu anipiganie
Ulipo anzia ndio uishie huko huko [emoji23][emoji23][emoji23]Chagua mwenyewe uishie kule au hapa
Fresh ila ukizingua nahamishia hukuUlipo anzia ndio uishie huko huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unaelekea kuni blackmail sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Fresh ila ukizingua nahamishia huku
Yeees hakuna linaloshindikanaNaona unaelekea kuni blackmail sasa [emoji23][emoji23][emoji23]