Kama akili yake iko timam itakua ni matokeo ya kutaka mali ya chao chap.Daaaaah leo usingizi hauwezi kuja kabisaa maana kila nkimfikiria yule dingii aliyeamua kumgonga mtoto wake aiseee najisikia hasiraaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, Leo hawapoKumekuchaa, popoz
Safi sana
Tuendelee
Taa ikizima hakuna kuonana
NjooMida ya kazi hii.
Jana na kesho
Njoo
Sipendi kuitwa mkuu