Sasa nimeelewa, nilidandia train kwa mbele😀😀
Njaa za usiku hizo au?Samahanini nan anakiporo anipe nile mlinzi mwenzenu
Ndio nnjaa mpaka naskia krrrrrNjaa za usiku hizo au?
Ngoja tutaona, time will tell!!
Ndio nnjaa mpaka naskia krrrrr
Hahahahahaha kunalika nn jamanUsinikumbushe yangu...tumbo laongea lenyewe.
Pole, fanya kampango ule.Ndio nnjaa mpaka naskia krrrrr
Hahahahahaha kunalika nn jaman
Leo nipo.Wewe huchelewi kunitelekeza hapa na kesho ukaja na excuses kibao
kupika usiku wataniona mwangaPole, fanya kampango ule.
Hahahaha majiii nishaamka mara3 kwenda toiMaji tu, mpaka kukuche.
Tunda au bites.kupika usiku wataniona mwanga
Hahahaha majiii nishaamka mara3 kwenda toi
Kiporo chanini?!Tunda au bites.
Kama hauwezi njoo upashe kiporo hapa.
Mwemzio mshamba mkate naweka kwenye fridge ila ahsante umenikumbusha ni kitu rahisi kupoaPole, tafuna hata mkate.
Wewe kama unaanza kuuliza kiporo cha nn, basi njaa haijakuuma vizuri😀😀Kiporo chanini?!
Maana unavyotaja ni va baridi