Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Alkasus na tendeUmeniandalia nn
Alkasus na tendeUmeniandalia nn
Ahsante sana. Hapa ndio natamani ningekua mchawiAlkasus na tende
Nikilala mapema nastuka saa 9 usikuHahaha tatizo hili ebu lala mapema leo wengine wote washalala
😂😂😂 hiyo Avatar yako unanikumbusha hiyo movie ya RangoNani yupo lindoni hapa?
Tupo tupo sanaNani yupo lindoni hapa?
😂😂 hili nitatizo lakila mtu alipokuwa mtt.
Watoto wabishi sana kulala😂😂 hili nitatizo lakila mtu alipokuwa mtt.
hz moment ningumu sana kwako wanapenda sana michezo muda wote.Watoto wabishi sana kulala
Kwangu? Nilimaanisha ukiwa mdogo hupendi kulala unacheza tuu ila ukiwa mkubwa usingizi unasepa...hz moment ningumu sana kwako wanapenda sana michezo muda wote.
Nilikuelewa thus why nikasema kila mtu alivyokuwa mtt alikuwa hapendi hizo moment.Kwangu? Nilimaanisha ukiwa mdogo hupendi kulala unacheza tuu ila ukiwa mkubwa usingizi unasepa...
sio kwamba ukiwa mkubwa usingizi ndio unakuwinda sana kwasababu ya pirikapirika za mchana?Kwangu? Nilimaanisha ukiwa mdogo hupendi kulala unacheza tuu ila ukiwa mkubwa usingizi unasepa...
Kuna watu wamesingizia wameenda kuangalia mpila lakini ukweli wanaujua wao saiz.Waoo muda wa show show.... Amkeni amkeni amkeniiiii
Ukiwa mkubwa stress na majukumu ya maisha ndio vinafanya usingizi unakimbia tofauti na mtt akicheza akicho atalala hawazii chochote zaidi ya kula kulala tu.sio kwamba ukiwa mkubwa usingizi ndio unakuwinda sana kwasababu ya pirikapirika za mchana?
Mmmh ... usingizi unasepa unawaza vikoba na madeni😁sio kwamba ukiwa mkubwa usingizi ndio unakuwinda sana kwasababu ya pirikapirika za mchana?
Ngoja nikupe kirungu na ww ulinde acha mm nikavute shuka.Doria kwa mbali