Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,558
Ngoja niangalie suits maana hostel inamauaji.. siwez angaliLast Ship
Kwa usiku huu naona ni kampani ya kutosha
Ngoja niangalie suits maana hostel inamauaji.. siwez angaliLast Ship
Kwa usiku huu naona ni kampani ya kutosha
Yeah ukichunguza utakuta mm ni member wa huu Uzi toka 2017...Insomnia? Kweli?
Pole sana.
Ngoja niangalie suits maana hostel inamauaji.. siwez angali
last ship ambayo Rihana yupo mkuu?Last Ship
Kwa usiku huu naona ni kampani ya kutosha
Ahsante nikiwa na muda nitapitiaCheki God father of Harlem
Wewe ni miongoni mwaka wahenga. Tupo wengi ambao tumeukumbuka huu uzi 😀😀Yeah ukichunguza utakuta mm ni member wa huu Uzi toka 2017...
Nimewahi kukosa usingizi siku mbili mfululizo. Ni siku ambazo sitozisahau, kukesha ukihesabu masaa hadi panakucha.Yeah ukichunguza utakuta mm ni member wa huu Uzi toka 2017...
I will glad to do so MkuuDo so Mkuu![]()
Nilijitahid kutumia hadi mitishamba.. ila wapi. Ila sio tatizo kwangu tenaNimewahi kukosa usingizi siku mbili mfululizo. Ni siku ambazo sitozisahau, kukesha ukihesabu masaa hadi panakucha.
Sasa nyie mnaoenda kila siku sijui mnateseka kiasi gani. Pole sana ila fanya kitu hilo tatizo lipone.
Kulala ni raha Sana jamani.
Good for you, kama umeshakubaliana na hali.Nilijitahid kutumia hadi mitishamba.. ila wapi. Ila sio tatizo kwangu tena
Hapanalast ship ambayo Rihana yupo mkuu?
Life is too shot you need "Python "
Hua nakabiliana na shida kwa njia hiyo.. hata niwe nataabika kiasi gani najisemea i was destined to be.. moyo watuliaGood for you, kama umeshakubaliana na hali.