chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Yah wimbo ni mzuri mnoChiquititta tell me the truth.....dah wimbo mzuri sana huu
Yah wimbo ni mzuri mnoChiquititta tell me the truth.....dah wimbo mzuri sana huu
Nilishawahi kukuahidi!! Dah! Nisamehe bure.Zawadi ya besidei hukunipa tena..![]()
Now listening...
Mónica Seka _ Chilen'koe..

MmmhNilishawahi kukuahidi!! Dah! Nisamehe bure.
Ahadi haichachi ipo siku nitaitimiza
Marhaba..Shikamoo
Yap kaka leo nipo zamu ngoja nijitahidi kulinda mpaka mida fulaniAtujumbo dada mkuu...leo upo zamu sio
Sina hata mmoja akili za usingizi hizo, vidole havina mfupa ahhh vidole havina breakHaha kwa hiyo hao wachumba unaoibiwa ni wa nani?
Daah very beautiful song
Hahahaha Usilale banah angalau lindo lichangamke....tutoboe kabisa bila shakaYap kaka leo nipo zamu ngoja nijitahidi kulinda mpaka mida fulani
EnjoyDaah very beautiful song
Now namsikiliza Sophie B Hawkins _ as I lay me down..
Usiku mrefu ila nitajitahidi leoHahahaha Usilale banah angalau lindo lichangamke....tutoboe kabisa bila shaka
Ndiyo kwanza 12:52Usiku mrefu ila nitajitahidi leo
Ukiona unasinzia nina dawa nitakupaUsiku mrefu ila nitajitahidi leo
Kama kawaida bossJarman Leo tulinde ,si mnajua kesho Taifa liko vitani ,msilale
Safi sana, kijanaKama kawaida boss
Vita gani tena!Jarman Leo tulinde ,si mnajua kesho Taifa liko vitani ,msilale
Dawa gani?Ukiona unasinzia nina dawa nitakupa
Njoo pm nikupeDawa gani?