Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,985
Kwani wewe unadhani ni dude gani? Naingoja zawadi yangu kwa hamu
![]()
nitalielezea kwa pmIngoje tu,itakua nzuri mpaka sio poa
Kwani wewe unadhani ni dude gani? Naingoja zawadi yangu kwa hamu
![]()
nitalielezea kwa pmHahahahaMzee wa uno upo
EehMiss you more!
Inaonekana mwaka huu sio mzuri kwa sisi wawili kuchat hivyo tusubiri uishe ili mwakani(2020) tuliamshe dude rasmi!![]()
Nimeona sehemu fulani ume declare interestHahahaha

Habari yako!Nimeona sehemu fulani ume declare interest![]()
Safi Ronny2010
Unaendeleaje
Sijakuelewa hapa. Umemaanisha nini ?anuani pepe
Tuzingatie muda wa kuingia lindoni
Aisee huu uzi kumbe unawakutanisha watu mpaka pm
Naomba ila uwe pm..Mkuu naomba nikupe ushauri kama hutojali
Hapa hapa mkuu,sio mbayaNaomba ila uwe pm..
Salama ndugu yangu.
ID yangu iko kama anuani pepe
hahahahaOk..Shot OutHapa hapa mkuu,sio mbaya
Nilikuwa nakushauri kama hautojali utoe hiyo picha hapo kwenye avatar yako uweke nyingine ya kiume.Ok..Shot Out
Sababu kuu ni nini kiongozi?Nilikuwa nakushauri kama hautojali utoe hiyo picha hapo kwenye avatar yako uweke nyingine ya kiume.
Sijakuelewa hapa. Umemaanisha nini ?
Binafsi sina shida nayo,ila naona kama inachanganya,watu wengi humu wanaangalia picha so watu wanaweza kukuchanganya na KeSababu kuu ni nini kiongozi?