Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
Njoo unueleweshe
Namaanisha mambo yanakwenda na rahisi kama kumsukuma mlevi vile.
Vipi bado hujaelewa ?
Namaanisha mambo yanakwenda na rahisi kama kumsukuma mlevi vile.
Vipi bado hujaelewa ?
Unajua kumpenda mtu it takes a minute naona kamoyo kameanguka kwako
Wapi huko ? Bado hujaeleaa tu ?Njoo unueleweshe
Hakuna kitu hakina formula juu ya uso wa dunia...kwa lugha nyingine hakuna kitu kinatokea kwa bahati mbayaWanga hawana formula
Godnights Guys
Mlale salama..God loves you all, kwake u wa thamani....!!!
Hii ndio mida, wanga wanaanza mambo zao saa 8 usk hapo
Wakienda sambamba na wazee wa kazi
Wapi huko ? Bado hujaeleaa tu ?
Mhh.. Kwa style hii Hapa kuna kulala
Daah,inaonekana mimi sina sifa ya kuwa mwalimu kabisa.Bado
Daah,inaonekana mimi sina sifa ya kuwa mwalimu kabisa.
Kumbe wengi wetu tunatumia EAT
Hapo ndipo ukomo wa upeo wangu katika kufundisha,sijui ningekuwa mwalimu ingekuwaje ?Kwangu labda
Kulala is tha most beautiful thing in the world mama kama unaweza ntumie na mm ka usingizi kidogoooNdio umeamka, wakati mimi nafikiria kulala
Waweza jua muda wa mahali popote juu ya uso wa dunia...
Tokyo sasa hivi ni saa moja asbh...
Hapo ndipo ukomo wa upeo wangu katika kufundisha,sijui ningekuwa mwalimu ingekuwaje ?
Acha kabisa.Ungepoteza wanafunzi
Kulala is tha most beautiful thing in the world mama kama unaweza ntumie na mm ka usingizi kidogooo
Noo.. Nimesema kwa masikitiko na kukata tamaaUmeuliza?
Noo.. Nimesema kwa masikitiko na kukata tamaa