capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
Ow ahsante Nimeshika tayari!Shikamoo
Wapi ulikuwa nilikungoja sana.
Ow ahsante Nimeshika tayari!Shikamoo
Ow ahsante Nimeshika tayari!
Wapi ulikuwa nilikungoja sana.
Tena No. 1
Ow ahsante Nimeshika tayari!
Wapi ulikuwa nilikungoja sana.
Hupendi kuambiwa ukweli ?Acha basi mambo hayo
Nataka nikuachie maagizo. Vipi unaniruhusu ?Lindo limepooooza
Naona watu wametelekeza lindo
View attachment 1186444
Nataka nikuachie maagizo. Vipi unaniruhusu ?
Hahahaha,nimeghairi.We Acha tu boss wangu.
Huo ndo ukweli?Hupendi kuambiwa ukweli ?
ha ha ha ha hii inawafaa wale wenye vitambi vikubwaStarfish siipend nikilala ivo naota ndoto za ajabu za kutisha
Ila umeadimika sana mrembo wa kani.We Acha tu boss wangu.
Hahahaha,nimeghairi.
Ndio tena usio na shaka ndani yake. Uko pale juu kabisa.Huo ndo ukweli?
Ndio.Ulikuwa maagizo ya mwanamke wako?