Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,814
- 51,467
Unaongelea tayari pesa ishakata nyie ndiyo wale mwezi uliopita mliwekewa tarehe 19 ehhh mkachekeleaaaaaMida ya kuwaza mishahara na madeni vipi itatoka cash
Unaongelea tayari pesa ishakata nyie ndiyo wale mwezi uliopita mliwekewa tarehe 19 ehhh mkachekeleaaaaaMida ya kuwaza mishahara na madeni vipi itatoka cash
Ooh ahsanteDefinition ya chalii ni mtu makini sana, yani mtu real sana plz jisikia poa
Iwe nawe piaAmani ya bwana iwe pamoja nanyi.
Mkuu unafikiri nipo kwenye hiyo system ya meco nipo private ila na komaa na mji kibishiUnaongelea tayari pesa ishakatwa nyie ndiyo wale mwezi uliopita mliwekewa tarehe 19 ehhh mkachekeleaaaaa
Don Clericuzio mwenyewe mambo niajeAmani ya bwana iwe pamoja nanyi.
Pambana na life ya hela yote man usibakishe chenji manMkuu unafikiri nipo kwenye hiyo system ya meco nipo private ila na komaa na mji kibishi
Iwe nawe pia
Don Clericuzio mwenyewe mambo niaje
Karibu tena mkuuMambo safi mkuu, uzima upo.
Sijapita muda kidogo huku kwenye manane.
HahahaBongoo kila leo ishakuwa nyoso ngoja nifanye mpango wa visa nipotee kama muda usiofahamika Dah tupo kama tumepewa hifadhi vile
Umekua mkimbizi nchini mwako sioBongoo kila leo ishakuwa nyoso ngoja nifanye mpango wa visa nipotee kama muda usiofahamika Dah tupo kama tumepewa hifadhi vile
Karibu tena mkuu
Bongoo kila leo ishakuwa nyoso ngoja nifanye mpango wa visa nipotee kama muda usiofahamika Dah tupo kama tumepewa hifadhi vile
We hujui hali ya maisha inaweza ikapita wiki nzima hujaona hata buku mbili tu ya kununua dagaa na unga mkuuUmekua mkimbizi nchini mwako sio
Mkuu
We hujui hali ya maisha inaweza ikapita wiki nzima hujaona hata buku mbili tu ya kununua dagaa na unga mkuu
Tunatumia free basics bossMkuu acha uongo. Buku mbili hakuna wakat kila mda online jf