Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Rudi bhan tulinde hpaEbwaba wazito si nimestuka paaap,simu hii hapa. Hapa ndio nawaaga,baadae kidogo,nina wenge la usingizi acheni tu.
Tupo wengiNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Dah... Nipo uhuru/Msimbazi nauza mlongeTupo wengi
