Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,364
MwakaWavumilie ndivyo walivyo. Wanaweza kukujibu mwaka ujao
nirudi kwenye zile link pendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
MwakaWavumilie ndivyo walivyo. Wanaweza kukujibu mwaka ujao
nirudi kwenye zile link pendwa
Kweli nakwambia. Uwe unawakumbusha mara kwa mara ila hawapendi, lazima wakupige mkwara uache usumbufu
Duh! Ngoja tu niende kwenye zile link zangu 2²+⅝(2x + 7y) - ⅝+⅞ + x³Kweli nakwambia. Uwe unawakumbusha mara kwa mara ila hawapendi, lazima wakupige mkwara uache usumbufu
Ha ha aa sawa mkuuDuh! Ngoja tu niende kwenye zile link zangu 2²+⅝(2x + 7y) - ⅝+⅞ + x³![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhongaji utamjua , hana maneno mengi yeye ni vitendo na hasubiri kuombwa
TatizoMuhongaji utamjua , hana maneno mengi yeye ni vitendo na hasubiri kuombwa
Ukinipa contact tu nakupa 10,000
Elfu 10? Teh
Nini hiki ndugu?
Mamabo demi.Ha ha aa sawa mkuu
May be..hiyo ni kwaajili ya salamu.🙄Ingekuwa jk 10²
Sukari ya warembo sio mimi.Sukari ya warembo weye! Inna umemuacha?
Cc jje'sSukari ya warembo sio mimi.
Ina ni dada yangu